Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee Yusuf kuacha tena muziki

Yusuff+pic Mzee Yusuf

Tue, 8 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nguli wa muziki wa Taarab nchini, Mzee Yussuf amesema kuna uwezekano wa kuacha tena mziki baada ya miaka miwili au mitatu ijayo kwa sababu atakuwa mtu mzima ila kwa sasa anataka kufaidi pesa za Digital.

Nguli wa muziki wa Taarab nchini, Mzee Yussuf amesema kuna uwezekano wa kuacha tena mziki baada ya miaka miwili au mitatu ijayo kwa sababu atakuwa mtu mzima ila kwa sasa anataka kufaidi pesa za Digital. Mzee Yussuf amesema hayo akihojiwa na EATV na kusema hata alivyoacha muziki mara ya kwanza na kumrudia Mungu hakuwa ame-miss kitu chochote na maisha yake yalikuwa yaleyale tu hakuwa na shida yoyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live