Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee Magari: Kuna Msanii aliniua ili akachukue Pesa Congo

Mzee Magari Mzee Magari: Kuna Msanii aliniua ili akachukue Pesa Congo

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Mkongwe wa Filamu za Bongo Movie ambae kwa sasa anaishi nchini Marekani, Charles Magari amesema wasanii wa Bongo hawana Ushirikiano na hawapendani.

Akitoa mfano Mzee Magari anasema;

"Mtu anaweza akapigiwa simu kutoka nchi nyingine ya kumtaka msanii fulani anasema huyo mzee ameshafariki na ameacha sana".

"Kuna msanii mwenzangu wala simtaji nilitakiwa DR Congo wakawa hawanipati, akasema wamchukue yeye lakini akajibiwa character haimfai basi akasema hana namba zangu na nimeshakufa. Aliniua mimi ili aende yeye". - Mzee Magari

Chanzo: www.tanzaniaweb.live