Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwonekano wa Jaden wazua Gumzo

Jaden Smith Appearance Mwonekano wa Jaden wazua Gumzo

Fri, 6 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama utakuwa mpenzi wa filamu basi sura hii siyo ngeni machoni pako, huyu ni Jaden smith ni mtoto wa pili wa muigizaji maarufu Will Smith, wengi tumemtazama kwenye filamu ya ''The Karate Kid (2010)''

Kupitia ukurasa wake wa mtandao ''X'' ameweka picha hizi akiambatanisha na ujumbe unaosomeka ''wenye chuki wanaweza ku-post huyu aliyekushoto na kumpuuza huyu aliye upande wa kulia, Mwanaume anaweza kuwa mapito yake?''

Wanazengo wakawa wengi kidogo kwenye kulijadili hili comment zikawa nyingi pia kila mtu akielezea mtazamo wake juu ya muonekano wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live