Menu ›
Burudani
Thu, 24 Oct 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Ripoti ya awali ya uchunguzi imebaini kuwa aliyekuwa nyota wa One Direction, Liam Payne (31), alikuwa na aina mbalimbali za dawa za kulevya mwilini ikiwemo ‘cocaine’ wakati wa kifo chake.
Ripoti ya awali ya uchunguzi imebaini kuwa aliyekuwa nyota wa One Direction, Liam Payne (31), alikuwa na aina mbalimbali za dawa za kulevya mwilini ikiwemo ‘cocaine’ wakati wa kifo chake. Mwanamuziki huyo alifariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya tatu katika Hoteli ya Casa Sur huko Buenos Aires, Argentina, Jumatano iliyopita.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live