Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwili wa Babu Sikare 'Albino Flani' waagwa Dar

Sikare 89052089 Mwili wa Babu Sikare 'Albino Flani' waagwa Dar

Sun, 19 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ndugu, Jamaa na Marafiki wamekusanyika leo nyumbani na katika Kanisa la Mtakatifu Kizito Mbezi Beach Kilongawima Jijini Dar es salaam kumuaga Babu Sikare maarufu Albino Fulani aliyekua Msanii wa Bongofleva na pia Mtetezi wa Watu wenye ualbino Nchini Tanzania.



Mwili wa Babu Sikare ambaye umauti ulimkuta February 8 2023 akiwa Marekani alikokua akiishi na kufanya kazi, ulipokelewa Dar es salaam jana na unazikwa leo makaburi ya Kinondoni Dar es salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live