Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku awekwa ndani kisa picha za utupu

585e658b4ba66091aec0b28fae2fc939 Mwijaku awekwa ndani kisa picha za utupu

Wed, 29 Jul 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

ALIYEKUWA mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kawe na Mtangazaji wa Clouds, Mwemba Brighton maarufu Mwijaku (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za utupu.

Mwijaku alisomewa mashtaka hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate.

Mwijaku ambaye alikana mashitaka hayo, amekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ambayo ni kuwa na wadhamini wawili kutoka ama Bongo Movie au tasnia ya muziki wenye barua zilizothibitishwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kusaini kila mmoja Sh 500,000.

Habari zaidi fuatilia gazeti lako la kila siku la Habari Leo litakalotoka kesho...

Chanzo: habarileo.co.tz