Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku awashangaa Marioo na Rayvanny kugombania Paula

Paula Shanga Paula

Tue, 18 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

DC wa Instagram, Mwijaku ashangazwa na mambo yanayoendelea kati ya Marioo na Rayvanny ya kugombana sababu ya mwanamke huku akiuita upumbavu kuendekeza roho mbaya na visasi.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mwijaku amepost picha za wawili hao na kuandika;

"Ni upumbavu kugombana sababu ya mwanamke jiulize wewe ni wa ngapi kwakwe? mmenikwaza sana kuendekeza roho mbaya na visasi".

Pia, ameipost Instagram kwake na kuandika; "@basata.tanzania ongeeni na hawa watoto. Watapotea kimziki wamejisahau na kuendekeza UESHARATI na VISASII"

Ikumbukwe Marioo kwa sasa ana uhusiano wa kimapenzi na @therealpaulahkajala ambaye alikuwa mpenzi wa Rayvanny na ndiyo kinatajwa kuwa chanzo cha ugomvi wao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live