Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku awapongeza Baraza la Sanaa kumfungia Zuchu miezi 6

Mwijaku Awapongeza Baraza La Sanaa Kumfungia Zuchu Miezi 6 Mwijaku awapongeza Baraza la Sanaa kumfungia Zuchu miezi 6

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar kumfungia msanii Zuchu kutofanya shughuli za sanaa kwa muda wa miezi 6 visiwani Zanzibar imekuja baada ya tukio la Februari 24 mwaka huu Zuchu kudaiwa kuimba nyimbo, kutoa matamshi na kuonyesha ishara mbaya ambazo ni kinyume na maadili ya kizanzibari.

Baada ya Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar kumfungia msanii Zuchu kutofanya shughuli za sanaa kwa muda wa miezi 6 visiwani Zanzibar imekuja baada ya tukio la Februari 24 mwaka huu Zuchu kudaiwa kuimba nyimbo, kutoa matamshi na kuonyesha ishara mbaya ambazo ni kinyume na maadili ya kizanzibari. Sasa Mwijaku amelipongeza baraza hilo kwa uamuzi huo na kudai kuwa baraza letu bado lina safari ndefu kwenye upande huo kwani limekuwa likitoa adhabu za kuomba msamaha tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live