Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku atoa kauli sakata la kutangaza Utalii Ufaransa" Nimelipwa Mabilioni" (+Video)

Mwijaku Ttb Kauli Mwijaku atoa kauli sakata la kutangaza Utalii Ufaransa" Nimelipwa Mabilioni"

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya sauti kupazwa na wadau wa Utalii wakiilalamikia Serkali(Bodi ya Utalii,TTB) kumsafirisha Mwijaku nchini Ufaransa kwa Lengo la kwenda kutangaza Utalii wa Nchi na kuona kuwa ni matumizi mabaya ya fedha kwa kuwa Mwijaku hana ujuzi wa kazi hiyo.

Sasa Mwanamitandao huyo ametoa kauli akiweka wazi ni nani hasa aliempeleka Ufaransa kufanya shughuli hizo za Kitalii.

Msikilize Mwijaku katika Video hapa chini akizungumza;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live