Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku amvaa Whozu kisa Wema

MWIJAKU NA WHOZU NA WEMA Mwijaku amvaa Whozu kisa Wema

Tue, 13 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

DC wa Instagram, Mwijaku ameibuka na mpya kwa kumvaa, msanii Whozu kuwa amechizika kwenye penzi la muigizaji Wema Sepetu.

Mwijaku ameenda mbali zaidi kwa kudai, kijana huyo hawezi kuhimili kishindo cha kuachwa kama ikitokea mrembo huyo ataamua kummwaga.

"Wema nakuombea dua usije FATA nyayo za Kajala maana huyu Whozu utamkuta mochwari ukija kumuacha. Maana kijana kajisahau hata akipigiwa simu hapokei. Najua sababu ya utamu unao mmpa kama vipi MMWAGEE tuone ana moyo wa ustaamilivu kuishi bila WEMA," aliandika Mwijaku Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live