Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku amvaa Rayvanny 'acha kujikomba kwa Diamond'

Mwijaku Na Rayvanny Mwijaku amvaa Rayvanny 'acha kujikomba kwa Diamond'

Sat, 5 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Show alioifanya Staa wa Muziki @rayvanny huko Albania, Hichi ndicho alichokiandika Dc wa Instagram @mwijaku...

"@rayvanny wewe ni mkubwa sasa achana na kujikomba komba kwa MWAMBINO (Diamond) HAKUWEZI wala hato kusaidia kitu.

Hizi level hajawahi kufika , kwenye nchi za watu #ALBANIA umeisimamisha NEMBO na BENDERA ya TANZANIA . Umemuacha mbali MBALI SAAAANA.

Tangaza kambi ya UPINZANIA RASMIII UIOKOE BONGO FLEVA kama anavo fanya MFALME kwa sasa."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live