Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku ampongeza Harmonize 'umepata mrithi wa Kajala'

Mwijaku Ampongeza Harmonize 'umepata Mrithi Wa Kajala' Mwijaku ampongeza Harmonize 'umepata mrithi wa Kajala'

Mon, 25 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji Mwijaku, amempongeza Harmonize kwa kumposti akiwa na mwanaye, Zuuh Konde.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwijaku ameposti picha hiyo na kuandika ujumbe huu;

"Yes yes Bao la kisiginoo ..! Nimefurahi sana nafasi ya K imekua covered na mwanamke ambaye hawezi kukusaliti hata ukiwa na hali gani au ukiwa na changamoto gani she will be there foe you . Am so proud of you @harmonize_tz @zuuh_konde

Chanzo: www.tanzaniaweb.live