Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku amlipua Diamond “bosi atakuwa yeye!”

Mwijaku Na Mondi Mwijaku amlipua Diamond “bosi atakuwa yeye!”

Wed, 10 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaweza ukaona kama masihara lakini ndio ukweli wenyewe! Chawa na mtangazaji maarufu Bongo, Mwijaku amemchana bosi wake huyo kwa kumuambia hana ubosi kihivyo!

Mwijaku amefunguka hayo Agosti 9, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na Bongo Five kuhusu mambo mbalimbali ambapo alipoulizwa kuhusu Zuchu ndipo alipomchana Diamond. “Zuchu ni msanii mzuri lakini tatizo lake ni moja tu, Mwambino (Diamond).

Nimemwambia aachane na Mwambino hata haelewi,” alisema Mwijaku. Mwijaku alipoulizwa na mtangazaji wa Bongo Five kama haoni tatizo kusema hivyo na yule ni bosi wake, akasema bosi hawezi kuwa Diamond.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live