Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku amchana Diamond "Uwe na bilioni 4 umdhulumu Harmonize?"

Diamond Mwijaku Harmo At 16.jpeg Mwijaku amchana Diamond.

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Staa wa muziki Diamond Platnumz kuzungumza jana kuwa ameweza kupoteza kiasi cha Bilioni 4 kwenye kununua ndogo yake binafsi (Private Jet) DC wa Instagram Mwijaku amemjia juu kwa kudai kuwa msanii huyo ni muongo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwijaku ameshea video clip pamoja na picha zikimuonyesha akisema msanii huyo Diamond nimuongo na licha ya hivyo ameandika ujumbe uliosomeka hivi..

"Ungekua na Bil 4 ..! Usinge dhulumu vifaa vya media vya KONDE na wala usinge Muomba KONDE mil 600 .

Nakuhakikishia utaendelea kuteseka mpaka uache dhuluma . Bil 4 sio kwapa useme kila mtu anayooo..!"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live