Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku amchana Baba Levo 'nimempunguza, mcheza kamari'

MWIJAKU NA BABA LEVO KU Mwijaku amchana Baba Levo 'nimempunguza, mcheza kamari'

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Clouds FM na chawa maarufu Bongo, Mwijaku amesema, amempunguza Baba Levo kwenye maisha yake kwa kuwa ni mtu asiyejielewa.

Mwijaku amesema kwenye project nyingi walizokuwa wanafanya naye, yeye ndio kila kitu lakini Baba Levo amekuwa akitaka wagawane sawa kwa sawa jambo ambalo si sahihi.

"Yule yeye hajui kitu, mimi ndio naandika halafu nikimwambia nikate changu cha ubunifu hataki anataka sawa kwa sawa yeye kafanya kazi gani? Yeye kazi yake si kupiga kelele tu," alisema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live