Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku amburuza Harmonize na Kajala Ustawi wa Jamii

Mwijaku, Kajala Na Harmonize Mwijaku amburuza Harmonize na Kajala Ustawi wa Jamii

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika Hospitali ya Mwananyamala kuna dawati la USTAWI WA JAMII ndiko alipoenda DC wa Instagram Mwijaku kwa ajili ya kutoa malalamiko yake juu ya Harmonize na Kajala akieleza kuna mambo yanaendelea sio mazuri katika malezi ya binti yule.

Mwijaku amewaomba USTAWI WA JAMII akijitambulisha kama mwanaharakati kuwa Harmonize na Kajala waitwe wahojiwe na ameenda mbali zaidi akisema ushahidi wote yeye anao juu ya yanayoendelea.

Hivi karibuni Mwijaku alilalama kwenye vyombo vya habari kuwa, Harmonize amekuwa na mawasiliano ambayo si rafiki na Paula jambo ambalo anadai ameshamuonya sana Harmonize lakini hataki kusikia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live