Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku: Whozu tafuta pesa uheshimike ukweni

Wema X Whozuuu Wema na Whozu

Sun, 1 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji na mwandishi wa habari, Mwijaku ametoa ushauri kwa mwanamuziki Whozu kuwa atafute pesa ili aweze kuheshimiwa ukweni.

Hii inakuja baada ya kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika birthday party ya Wema Sepetu, kwa kile alichokiongea mama mzazi wa mrembo huyo kuhusu Whozu kufuata taratibu za ndoa na siyo kuishi bila kufuata taratibu.

Mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ame-post picha akiwa na Whozu iliyoambatana na ujumbe usemao..

“Whozu Tafuta pesa uheshimiwe ukweni tafadhali mdogo wangu aibu naiona mimi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live