Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku: Rayvanny umemtesa Fahyma

IMG 20230413 WA0015 1681417649 Rayvanny naFahyma

Sat, 15 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Clouds Media, Burton Mwemba maarufu kama ‘Mwijaku’ ameibuka na kutoa neno kufuatia supastaa wa Bongo, Rayvanny kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake na mzazi mwenzake, Fahyvanny.

Mwijaku ameandika; "Kama unampenda kweli muoe na sio utoto wa kuchorana. Hizo swaga muachie Konde.

“Hakuna mnyakyusa wa aina hiyo, kumchora tattoo sio kumheshimisha mwanamke. Muoe umpe heshima na apate baraka za Mungu. Umemtesa sana na wasambaza U.T.I sugu," amesema Mwijaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live