Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku: Nandy alitaka nimchafue Zuchu kwa Mil. 1.8

Zuchu Nandy M.jpeg Mwijaku: Nandy alitaka nimchafue Zuchu kwa Mil. 1.8

Fri, 22 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sakata la Nandy na Zuchu limeendelea kuchukua sura mpya baada ya Mwijaku kudai kuwa ni kweli Nandy alitaka kumlipa kiasi cha shilingi milioni moja na laki nane (Mil. 1.8) ili tu aposti kwenye ukurasa wake wa Instagram taarifa za kumchafua Zuchu.

Sakata la Nandy na Zuchu limeendelea kuchukua sura mpya baada ya Mwijaku kudai kuwa ni kweli Nandy alitaka kumlipa kiasi cha shilingi milioni moja na laki nane (Mil. 1.8) ili tu aposti kwenye ukurasa wake wa Instagram taarifa za kumchafua Zuchu. Mwijaku anasema kuwa sauti hiyo iliyosambaa mitandaoni ni kweli ni ya Nandy na alitumiwa mwaka 2021.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live