Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku: Juma Nature, Inspector nilikuwa wachafu, walevi

Mwijaku, Juma Nature Na Inspector Mwijaku: Juma Nature, Inspector walikuwa wachafu, walevi

Sun, 6 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

DC wa Instagram na mtangazaji wa Clouds FM, Mwijaku amesema amepambana kwa kiasi kikubwa kuhakikisha, wakongwe wa muziki Bongo Juma Nature na Inspector wanarudi kwenye ubora wao.

Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni, Mwijaku alisema, aliumia kuwaona wasanii hao ambao alikuwa akiwafuatilia siku nyingi kuwakuwata wamekuwa wachafu na hawana ile nuru ya kisanii ndipo alipowatafutia msaada.

“Niliwakuta hawatamaniki, mimi sikuwa na kitu. Ikabidi nimtafuta Gaza ambaye ana pesa ndipo akawatafuta, akaongea nao.

“Cha kwanza wakaomba simu, wakapewa I Phone. Akawapa hela wakaenda saluni, akawapa fanicha. Ndio wakafanya Mzee wa Busara Remix kwa gharama za Gaza,” alisema Mwijaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live