Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku: Diamond anapoongeza msanii, na sisi tunapata riziki

Mwijaku: Diamond Anapoongeza Msanii, Na Sisi Tunapata Riziki Mwijaku: Diamond anapoongeza msanii, na sisi tunapata riziki

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia ukurasa wa Instagram wa DC Mwijaku amempongeza Staa wa muziki Diamond Platnumz anaetarajia kumtambulisha Msanii mpya katika Lebo yake ya #WCB siku ya leo.

Mwijaku ameandika...

"FACT-All the best @diamondplatnumz na team yako ya @wcb_wasafi katika siku adhimu ya leo ya kutuletea kipaji kimpya katika Bongo fleva , Binafsi nakupongeza sababu unapo ongeza msanii na sisi ndipo tunapo pata rizki zaidi kwa njia nyingine . ( unaifahamu sisemi hapa )

Mungu akusimamia kipaji hiki utakacho kitambulisha leo kiwe faraja kwa watanzania na MACHAWA wapya wajao katika ulimwengu huu wa burudani .

Hongera kwa @basata.tanzania kusimamia mchakato mzima na kuhakikisha kipaji hichi kinakua tunu na faraja kwa mziki wetu.

Mwisho kabisa Mungu akutangulie na akubariki kwa nia njema ulio kua nayo juu ya msanii wako mmpya utake kwenda kumtambulisha Inshaalah . Ikawe khery 16/11/2023 #Ameen"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live