Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku Ashindwa Kujizuia, Ammwagia Misifa Mondi

Mwijaku Diamond Mwijaku Ashindwa Kujizuia, Ammwagia Misifa Mondi

Mon, 27 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji na mwanamitandao maarufu kama DC wa insta Mwijaku ameshindwa kujizuia kusifia video mpya ya mwanamuziki Diamond Platnumz 'Unachezaje iliyotoka rasmi leo hii saa kadhaa zilizo pita.

Kupitia insta story yake Mwijaku ameshare sehemu ya video hiyo na kuandika ujumbe unao-onesha kukubali video hiyo iliyo ongozwa na director Ivan.

Ikumbukwe kuwa mtangazaji huyo mara kadhaa amekua akimkosoa msanii Diamond Platnumz wazi-wazi, katika kazi zake za muziki na hata maisha binafsi huku akiwasifia Alikiba na Harmonize kuwa wanafanya vizuri na ni wasanii wazuri kulikjo Diamond, lakini tangu Mondi amchukue Mwijaku na kumpa ubalozi wa Wasafi Bet, mambo yamebadilika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live