Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwigizaji alia nyuzi alizofanyiwa upasuaji kufumuka

Images (35) Caro.jpeg Caroline Muigizaji

Sun, 14 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Caroline Hussein almaarufu Carina bado anateseka mno kutokana na tumbo lake kuwa wazi na kuvuja uchafu wa haja kubwa kama bomba baada ya upasuaji aliofanyiwa kufumuka na kufanya tumbo liwe wazi wakati wote.

Globaltvonline imefanya naye mahojiano kwa mara nyingine na kueleza magumu anayopitia ikiwemo kufanyiwa dressing mara kumi kwa siku, jambo ambalo si la kawaida kwa sababu familia inalazimika kutoa pesa nyingi na mpaka sasa wameishiwa kabisa huku wakitakiwa kufanya operesheni ya 18 sasa. Unaweza kumchangia Caroline kupitia namba hizo hapo chini;

0769990045 M-PESA Carolinhawa Hussein Ebrahim Bounin

0712595858 Tigo Pesa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live