Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwigizaji Lance Reddick afariki dunia

Lance Reddick Mwigizaji Lance Reddick

Sat, 18 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji Lance Reddick amefariki dunia. Kwa mujibu wa Tovuti ya TMZ, vyombo vya usalama vinaripoti kwamba Lance Reddick (60) alikutwa amefariki nyumbani kwake, Studio City mjini California jana Ijumaa.

Mwigizaji Lance Reddick amefariki dunia. Kwa mujibu wa Tovuti ya TMZ, vyombo vya usalama vinaripoti kwamba Lance Reddick (60) alikutwa amefariki nyumbani kwake, Studio City mjini California jana Ijumaa. Chanzo cha Kifo chake bado hakijatajwa lakini vyombo vya usalama vinaeleza kwamba inaweza kuwa Kifo cha kawaida yaani Natural Death. Reddick alifahamika kwa uigizaji wake katika filamu kama “The Wire” na “John Wick”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live