Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwigizaji Jengua afariki dunia (+Audio)

Insta Saver 64791834 2412339072180037 8506683273340277376 N 660x400 Mwigizaji Jengua afariki dunia (+Audio)

Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Muigizaji wa filamu Tanzania, Mzee Jengua amefariki dunia leo Jumanne Desemba 15, 2020 Mkuranga mkoani Pwani.

Muigizaji wa filamu Tanzania, Mzee Jengua amefariki dunia leo Jumanne Desemba 15, 2020 Mkuranga mkoani Pwani. Taarifa iliyotolewa na katibu wa chama cha waigizaji Mkoa wa Dar es Salaam, Doricy Kente inaeleza kuwa mke wa msanii huyo amethibitisha kifo hicho.

Chanzo: millardayo.com