Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamuziki Shoma Djozi atoa funzo kwa wasanii Bongo

Shomadjozi 1695628601987.jpeg Mwanamuziki Shoma Djozi atoa funzo kwa wasanii Bongo

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Shoma Djozi amefunguka kuwa wasanii wa Afrika Kusini wana sample nyimbo zao za zamani ili kutoa muziki mzuri wakisasa Amapiano, lakini kwa wasanii wa Tanzania hawafanyi hivyo.

Aidha Katika kuthibitisha kauli yake alionesha kwa vitendo akitumbuiza jukwaani akiimba wimbo wake mpya wa Amapiano ambao amechukua sample kutoka kwa mkongwe wa muziki Tanzania Matonya kupitia wimbo wake ‘Anita’.

Sho Madjozi ameonekana mara kadhaa kuupigania muziki wa Bongo Fleva akifanya kolabo na baadhi ya wasanii wa kitanzania na kuonekana kufanya vizuri kwenye hizo nyimbo alizoshirikishwa na wasanii kutoka Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live