Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamuziki Ice Spice hataki mashabiki waingilie mahusiano yake

Mwanamuziki Ice Spice Hataki Mashabiki Waingilie Mahusiano Yake Mwanamuziki Ice Spice hataki mashabiki waingilie mahusiano yake

Fri, 13 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Ice Spice kutoka nchini Marekani amesema kuwa anataka mashabiki wake wazingatie zaidi muziki wake kuliko mahusiano yake.

Ice akiwa kwenye mahojiano na Los Angeles Times, alithibitisha kuwa yuko kwenye mahusiano lakini hataki kuweka wazi mpenzi wake kwani anachotaka watu wakifahamu zaidi kuhusu yeye ni muziki wake na siyo mahusiano yake.

Ice Spice amekuwa akifanya vizuri kwenye na ngoma kama vile ‘Deli’, huku masaa matatu yaliyopia ameachia ngoma mpya na mwanamuziki kutoka Nigeria Rema iitwayo ‘Pretty Girl’

Chanzo: www.tanzaniaweb.live