Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamuziki Barnaba kumvisha Pete ya Uchumba mpenzi wake Raya

Barnaba Na Raya Mwanamuziki Barnaba kumvisha Pete ya Uchumba mpenzi wake Raya

Thu, 14 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji nyota wa bongofleva @barnabaclassic yupo mbioni kuufungua ukurasa mwingine wa mapenzi kwa tukio la kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi bibie @rayatheboss ikiwa ni kiashirio cha kuelekea katika ndoa.

Barnaba amebainisha ujio wa jambo hilo la kheri kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushare picha ya pete mbili na kuwapa nafasi mashabiki wake wamchagulie ipi itafaa kumvisha mpenzi wake huyo.

"Ipi itafaa, she says Yes????" - ameandika Barnaba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live