Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamuziki Appy aomba radhi kwa vazi lake

Mwanamuziki Appy Aomba Radhi Kwa Vazi Lake.jpeg Mwanamuziki Appy aomba radhi kwa vazi lake

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Appy ambaye alifanya vizuri na wimbo wa ‘Watu Feki’, ameonesha uungwana kwa kuomba radhi kutokana na vazi alizovaa usiku wa Bss.

Vazi hilo alilivaa kwenye fainali za bongo star search msimu wa 14, licha ya kuomba radhi kwa mashabiki wake pia amelishukuru Baraza la Sanaa Taifa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika, ningependa kuomba radhi kwa mashabiki na uongozi wa bongo star search na kwa wote ambao hamkupendezwa na vazi langu kwenye performance za @bongostarsearch season 14 pia nashukuru Baraza la Sanaa Taifa @basata.tanzania likiongozwa na Katibu mtendaji kwa kunipa mwongozo wa kuendesha shughuli zangu za sanaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live