Menu ›
Burudani
Mon, 25 Sep 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Msanii Saynag TZ ametusanua kwamba kwa sasa sio rahisi mwanamke kuanza kumwambia mwanaume kama anampenda labda mwanamke akiwa kibiashara inaweza kuwa rahisi kwao kusema hivyo.
"Wanawake kusema nimekuzimia ni ngumu, sasa hivi mwanamke akikwambia hivyo ujue yupo kibiashara".
Saynag ameongeza kusema wanawake wa kibiashara ni rahisi kumwambia mwanaume nakupenda kwa sababu kuna vitu anataka au anategemea atavipata kiwepesi kwa mwanaume huyo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live