Menu ›
Burudani
Wed, 8 Nov 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mwanamke mmoja kutoka nchini Austalia aliyejulikana kwa jina la Trish Webster, amefariki dunia baada ya kutumia dawa za kupunguza uzito ili aweze kuvaa gauni la ndoto yake katika harusi ya binti yake.
Dawa hizo ziitwazo Ozempic zinadaiwa kumsaidi mwanamama huyo kupungua kwa haraka kilo 15 ndani ya miezi mitano lakini zilimsababishia ugonjwa wa kupooza kwa tumbo (gastroparesis) uliopelekea kusababisha kifo chake.
Ozempic ni dawa iliyoidhinishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani kwa watu walio na kisukari cha aina ya 2 na imekuwa ikitumiwa kama dawa ya kupunguza uzito duniani kote.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live