Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamitindo wa Uingereza afariki Dunia

Tbby Brown Tabby Brown

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Uingereza, #Tabby Brown amefariki dunia leo, ambapo meneja wake wa zamani amethibitisha kifo cha mwanadada.

Tabby amefariki akiwa na umri wa miaka 38 enzi za uhai wake aliwahi kuwa muigizaji na mcheza ‘dansi’ nchini humo.

Pia alionekana katika matangazo ya Canon, AX na Lynx, na aliigiza katika Channel 5 ya The Bachelor.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live