Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamitindo Jessica afungukia sauti yake iliyotumiwa na Rick Ross

Jessica And Rick Ross.jpeg Mwanamitindo Jessica afungukia sauti yake iliyotumiwa na Rick Ross

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo kutoka Marekani Jessica Gomez ambaye sauti yake ilisikika mwanzoni mwa wimbo wa ‘rapa’ Rick Ross aliomshirikisha Jay-Z uitwao ‘May Back Music’ ameweka wazi kuwa hakuwahi kufikiria kama sauti yake itatumika hadi leo.

Mwanamitindo huyo mzaliwa wa #Australia ambaye kwa sasa anaishi Marekani amesema sauti hiyo aliingiza akiwa na rafiki yake miaka 10 iliyopita.

Hata hivyo alieleza wakati walipokuwa matembezini na rafiki yake walikutana na #Ross, #Jay na kuwaomba waingize sauti katika wimbo wao, huku akidai kuwa hakuwahi kufikiria kama sauti yake itatumika hadi leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live