Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanaheri: Nina vitu orijino, sijafanya sajari

Mwanaheri Msg Mwanaheri.

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa Bongo Movies, Mwanaheri amesema kuwa hajafanya sajari kupendeza umbo lake bali ameumbwa hivyo na Mwenyezi Mungu.

"Hakuna mwanaume anayeweza kuniona halafu asivutiwe na mimi kwasababu mimi mwenyewe Mashaallah na nimejaaliwa vyombo Mashaallah. Nina vitu orijino sijasafiri kwenda Uturuki wala wapi ni Mungu kanijaalia vitu.

"Sisi kwetu wote tuko hivyo, wote ni vyombo si watoto, wasichana wala wazee, wote ukituona tuna vitu Mashaallah.

"Wanaosema nimeenda Uturuki hawanijui vizuri wamenifahamu ukubwani baada ya kuanza kuniona Instagram, lakini mimi tangu utotoni nilikuwa na vitu Mashaallah," amesema Mwanaheri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live