Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwanafunzi mtukutu apewa zawadi kwenye graduation "natoroka kwenda kujitafutia" (+video)

Video Archive
Sat, 28 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo nakukutanisha kijana kutoka Chuo cha Mafunzo ya Ufundi VETA Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe ambapo wao wameamua kumpa zawadi mwanafunzi ambaye alikua mtukutu Chuoni lakini baadae walifanikiwa kumbadilisha tabia na kuwa mwanafunzi bora.

Leo nakukutanisha kijana kutoka Chuo cha Mafunzo ya Ufundi VETA Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe ambapo wao wameamua kumpa zawadi mwanafunzi ambaye alikua mtukutu Chuoni lakini baadae walifanikiwa kumbadilisha tabia na kuwa mwanafunzi bora. Imezoeleka katika mahafali wanaopewa zawadi ni wale wanafunzi bora, wenye nidhamu bora hupewa vyeti na fedha ili iwe mfano kwa wengine, tupo na mwanafunzi mwenyewe anatueleza ilikuaje mpaka akawa na tabia mbaya lakini pia tunaye mwalimu wake anatueleza alivyokua mtukutu na kuwasumbua walimu na jamii.

Chanzo: millardayo.com