Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanafunzi auza figo yake ili amnunulie mpenzi wake iPhone 14

Iphone Kidney Auza figo yake ili amnunulie mpenzi wake iPhone 14

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanafunzi mmoja wa Nigeria amevuma kwenye mitandao ya kijamii baada kubainika kuwa aliuza figo yake moja ili tu amnunulie mpenzi wake simu ya iPhone 14.

Mwanafunzi huyo ambaye jina lake halijabainika anasemekana kuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Port Harcourt (UNIPORT).

Katika picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, mwanafunzi huyo amevalia kaptura ya bluu na t-shirt yake ya bluu kuonyesha tumbo lake ambapo upande wa kulia kuna bandeji kwenye eneo ambalo figo ziko na inaonesha kwamba alikuwa amefanyiwa upasuaji siku chache zilizopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live