Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwanafunzi atumia usafiri wa ndege kwenda chuo

Mwanafunzi Atumia Usafiri Wa Ndege Kwenda Chuo Mwanafunzi atumia usafiri wa ndege kwenda chuo

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanafunzi mmoja , aitwaye Tim Chen anayechukua course ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha British Columbia (UBC) kilichopo nchini #Canada amekuwa akitumia usafiri wa ndege kwenda chuo na kurudi nyumbani anapoishi na wazazi wake #Calgary.

Tim kufuatiwa na mahojiano yake aliyoyafanya na kituo cha runinga cha #CTV ameeleza kuwa alifanya uamuzi huo kutokana na kupanda kwa kodi ya pango (chumba) alichokua akiishi ambapo kilikuwa kikigharimu dola 2,500 ikiwa ni zaidi ya tsh 6.3 milioni kwa mwezi.

Kutokana ana bei hiyo kupanda ilimbdi atafute njia nyingine ambayo atakayotumia kufika chuoni hapo, ndipo akaamua kutumia usafiri wa ndege kwende shule na kurudi nyumbani kwao.

#Tim alieleza kuwa hakuna ugumu kwake kutumia usafiri huo kutokana na kuwa na vipindi viwili kwa wiki ambapo alidai kuwa anatumia dola 150 katika usafiri wa kwenda na kurudi, ambapo kwa mwezi anatumia dola 1,200 ikiwa ni zaidi ya tsh 3 milioni ambapo asema kuwa ni pesa ndogo kuliko aliyokuwa akitoa kwenye chumba alichopanga. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live