Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwanafunzi alieacha Chuo na kutumia ada kuuza viatu bila Wazazi kujua (+video)

Video Archive
Wed, 17 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Suzan British mwenye umri (24) binti alieamua kuacha Chuo akiwa mwaka wa pili akisomea Ufamasia bila ya Wazazi wake kufahamu na kuendelea kumlipia ada, na yeye kuitumia ada ya Wazazi wake kuanza biashara ya kuuza viatu huku Wazazi wake wakiamini mtoto wao anaendelea na masomo hadi hapo walipohudhurua mahafali yake 2020.

Chanzo: millardayo.com