Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MwanaFA awataka Basata kuwa wakali

MWANAFA BASATA MwanaFA awataka Basata kuwa wakali

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Sanaa, Hamis Mwijuma maarufu kama MwanaFA amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kusimamia kikamilifu mikataba kati ya wasanii na kampuni za kuuza nyimbo mitandaoni kwa madai mikataba yao inakuwa na mapungufu.

MwanaFA ametolea mfano kwamba kuna moja ya mikataba kuna kipengele ambacho kinasema ukitokea mgogoro utaenda kusikilizwa nje ya nchi.

Amewataka Basata kuwa wakali na yeye atatafuta msaada wa kisheria ambao utasaidia baadhi ya changamoto za wasanii kunyonywa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live