Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MwanaFA ashusha mistari live jukwaani, aibua shwangwe! - VIDEO

MwanaFA Ashusha Mistari Live Jukwaani, Aibua Shwangwe!   VIDEO MwanaFA ashusha mistari live jukwaani, aibua shwangwe! - VIDEO

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma 'MwanaFA' ameshusha mistari live alipokuwa kwenye uzinduzi wa Bongo FM Radio.

MwanaFA aliimba wimbo wake wa Asanteni kwa Kuja wimbo ambao kwenye YouTube tayari una miaka nane tangu utoke na umetazamwa na watu zaidi ya Mil. 1.

Uzinduzi wa redio hiyo ulifanyika jana Februari 26,2024 Mbagala jijini Dar.

View this post on Instagram

A post shared by TBC Digital (@tbc_online)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live