Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MwanaFA apingana na Roma Mkatoliki

AHA MwanaFA & Roma Mkatoliki

Tue, 8 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Mbunge wa Jimbo la Muheza Tanga Mwana Fa hakubaliani na Roma Mkatoliki kwa kitendo cha kumfananisha bondia Mike Tyson na Floyd Mayweather, pia ameeleza kwamba kumfananisha Tyson na Mayweather ni kumkosea Mike Tyson.

Mjadala huo umeibuka mtandao wa Twitter baada ya Roma Mkatoliki kuandika kuwa 

"Sema Mayweather anacheza sana na akili zetu hata kama ana rekodi kubwa lakini mimi kwangu sio bondia bora, Mike alikuwa mnyama sana" 

Mwana Fa aka-comment kwenye Tweet hiyo ya Roma kwa kuandika "Bwana Ibra kumfananisha Floyd na Mike ni kumkosea heshima “The BaddeTHt man on the planet” Iron Mike kiboko kabisa mzee wangu".  

Chanzo: eatv.tv