Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MwanaFA ampa ufalme Young Lunya

Lunya Na MWANAFA MwanaFA ampa ufalme Young Lunya

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki na mwanasiasa nchini, Hamisi Mwinjuma MwanaFA, amemtambulisha rapper Young Lunya kama ‘Mfalme’ kupitia ukurasa wake wa X/Twitter.

Mwanamuziki na mwanasiasa nchini, Hamisi Mwinjuma MwanaFA, amemtambulisha rapper Young Lunya kama ‘Mfalme’ kupitia ukurasa wake wa X/Twitter. MwanaFA ambaye ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ameweka utambulisho huo wa “King” kwenye jina la Lunya wakati akiumwagia sifa wimbo wa msanii #Dayoo unatambulika kama ‘Handsome’ ambao wimbo huo Rapa Lunya ameshirikishwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live