Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana FA: Nani alisahau cheti Cuba nimchukulie?

FA Cuba Mwana FA: Nani alisahau cheti Cuba nimchukulie?

Tue, 8 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mwanafa ame-post picha ambayo location yake inaonesha yupo Cuba, kupitia post hiyo na sehemu aliyopo ameuliza swali kwa wale wanaodai kuwa wamesoma Cuba.

Mwana FA aeandika

"okay..kama kuna mwenzetu alisoma huku na labda alisahau cheti chake hivi anicheki nimchukulie."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live