Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana FA Agonga Miaka 20

MWANA FA Mwana FA Agonga Miaka 20

Thu, 3 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Lejendari mwingine kunako Bongo Fleva ambaye ni Mbunge wa Muheza jijini Tanga, MwanaFA ametimiza miaka 20 kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Flava.

MwanaFA ameandika; “Wimbo wangu wa kwanza INGEKUWA VIPI? ulitoka siku yenye tarehe kama ya leo (02/02) mwaka 2002. The rest is history... “Namshukuru Mungu kwa kunipa miaka 20 na bado inahesabu kwenye hii kitu fam! Na wote mlioniunga mkono kwenye hii safari.

“Wakati tunaadhimisha nisaidie kunitajia wimbo wako bora toka kwangu, nataka kujua tu kama tukifikiria kutoa wimbo mwingine uelekee wapi…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live