Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwamba anayejiuza kwa wanawake matajiri, anaingiza milioni 23 kwa mwezi

InShot 20220918 131355750 Mwamba anayejiuza kwa wanawake wenye pesa, anaingiza milioni 23 kwa mwezi

Wed, 21 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapya yaibuka! Jamaa huyo kwa jina la Samuel amekiri kujiajiri kwa kujiuza kwa wanawake wenye pesa na kwa mwezi anaingiza dola $10,000 (Tsh.23 mil).

Samuel kutoka Australia amesema robo ya wateja wake huwa ni wake za watu. Huwa anajiuza kwa wanawake wenye pesa ambao wengi wanampeleka katika hotel za hadhi ya nyota tano.

Amesema.July mwaka huu mteja wake wa kike alimpa ofa ya kwenda nae Phuket, Thailand kwa siku 10 wakale raha maeneo ya starehe.

Samuel umri wake upo mwanzoni mwa miaka ya 40s, akihojiwa amesema ana miaka miwili tangu ajiajiri moja kwa moja kama kama kah*ba wa kiume anayejiuza kwa wanawake amesema marafiki na familia yake inajua na alipomwambia mama yake awali mama yake hakukubaliana na suala hilo lakini baadaye akamuacha tu na maisha yake.

Amesema hadi sasa mteja wake mwenye umri mdogo ni mdada wa miaka 23 na mwenye umri mkubwa ni mwanamke wa miaka 70 na mara nyingi wateja wake huwa wanamrudia baadaye.

Amesema anafurahia hasa anapopelekwa katika hotel za hadhi ya juu na wanawake wenye pesa wanaotaka huduma yake.

Anadai anajivunia kuwa kah*ba wa kiume japo ni ajira yenye ukakasi kwa wengi na hata mshtuko kwa wengine. Amesema wanawake walioolewa mara nyingi huwatoza dola $600.

Tofauti yake na makah*ba wa kike amesema mara nyingi yeye hatumiki sana kwa siku ila kwa siku anaweza kuwa na mteja mmoja tu wa kike na wateja wake sio wa muda mfupi kama kwa wanawake, yeye wateja wake huwa wanachukua masaa mawili kuendelea na wengine siku nzima.

Aidha, amejitapa kuwa ana mwili wa kibaba hivyo wateja wake hasa ni wanawake wenye miaka 35 kuja juu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live