Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwamba aachana na mtoto wa Bill Gates

Robert Ross Phoebe Gates 1280px T Mwamba aachana na mtoto wa Bill Gates

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwezi wa tatu (3) mwaka huu moja kati ya picha ambazo zilisambaa sana mtandaoni ni ile ambayo ilimuonesha mtoto wa Bill Gates, Phoebe Gates akiwa na mpenzi wake Bwana Robert Ross (mwenye bahati ya mtende).

Phoebe Gates ni mtoto wa tatu kwa Bill Gates, amefahamika mtandaoni baada ya kuweka wazi mahusiano yake kupitia mtandao wake wa Instagram mapema July 2022 akiwa na Robert Ross ambaye wengi walimzungimza sana kutokana na muonekano wake.

Kwa sasa kupitia ukurasa wa Phoebe Gates, wa instagram ameweka picha akiwa na mwanaume mwingine ambaye inasemwa ndiye mpenzi wake wa sasa wakiwa Paris, Ufaransa Maswali yakawa mengi. Je, wameachana na Bwana Robert Ross au hii imekaa vipi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live