Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwalimu wa Kingereza wa Diamond: Kujifunza ni rahisi Tanzania

Mwalimu Wa Diamond Mwalimu wa Kingereza wa Diamond: Kujifunza ni rahisi Tanzania

Mon, 8 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwalimu wa Kingereza wa Diamond, Mwalimu Aallen, amesema mazingira ya Tanzania kujifunza Kingereza ni rahisi.

Mwalimu Allen amedai Tanzania kuna mazingira rahisi ya kujifunza kingereza kwa kuwa watu wengi wanatumia lugha hiyo bila kujua.

Amedai miezi 9 inamtosha mtu ambaye hajui kabisa kingereza kuzungumza vizuri kama akiwa na nia na malengo yakutaka kujua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live