Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwalimu wa Chris ahukumiwa kwa kusafiri na bunduki

GettyImages 969354728 Scaled Mwalimu wa Chris ahukumiwa kwa kusafiri na bunduki

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwalimu wa mcheza ‘boxer’ Chris Eubank Jr, McIntyre ‘BoMac' ashitakiwa baada ya kukutwa na bunduki katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Ungereza.

Inadaiwa kuwa alikuwa akijaribu akisafirisha silaha hiyo nchini humo kinyume na sheria ndipo wakaguzi wa mizigo katika uwanja huo wakaifuma bunduki hiyo kwenye begi lake.

Jaji Nicholas Dean ametoa hukumu kwa BoMac ya kifungo cha miezi 20 jela katika mahakama ya Manchester Crown.

Hukumu hiyo ni kutokana na ushahidi aliotolewa na baadha ya watu wake McIntyre akiwemo bingwa wa ndondi za uzito wa Walter, Terence Crawford.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live