Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mwalimu anafundisha wanaoona "ilitumbukia mtoni nikitoka shule"

Screenshot 2020 10 06 At 09.05.23 660x400.png Mwalimu anafundisha wanaoona "ilitumbukia mtoni nikitoka shule"

Tue, 6 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Wakati Tanzania na Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya Walimu AyoTV na millardayo.com tumemtafuta Mwalimu Bahati Sanga yeye ni mlemavu asiyeona lakini anafundisha shule kongwe ya wavulana Tabora (Tabora Boys) kutaka kujua mazingira ya kazi yake kwani anafundisha wanafunzi wenye ulemavu na wasio na ulemavu.

Chanzo: millardayo.com