Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Muongozo Mpya: Kama hujafikisha miaka 13 huruhusiwi kuwa na WhatsApp

Muongozo Mpya: Kama Hujafikisha Miaka 13 Huruhusiwi Kuwa Na WhatsApp Muongozo Mpya: Kama hujafikisha miaka 13 huruhusiwi kuwa na WhatsApp

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: Bbc

Mtandao wa kijami wa WhatsApp umetoa muongozo kuhusu umri ambao watumiaji wake wanaweza kujisajili na kutumia mtandao huo.

Kulingana na mtandao huo mtumiaji atatakiwa kuwa na umri wa miaka 13, kujisajili na- kutumia mtandao huo.

WhatsApp inasema hatua hii inalenga kulinda usalama wa watumiaji watoto.

Katika kuimarisha usalama wa watumiaji wake vijana wadogo, mtandao huo sasa umewaongoza watumiaji wake kupata taarifa zaidi kuhusu faragha na usalama kwenye kipengele chake cha usalama.

Unaweza pia kuripoti akaunti za watumiaji wenye umri mdogo au kuweza kufuta akaunti zao huku mtandao huo ukiwaelekeza namna ya kufuta mtandao huo.

Chanzo: Bbc